John 6:49-50

49 aBaba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa. 50 bLakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu yeyote akiula, hatakufa.
Copyright information for SwhKC